Rais
Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Msumbiji
hapa nchini, Amour Zacarias Kupela wakati Balozi huyo alipomtembelea
rais Kikwete Ikulu ya jijini Dar es Salaam hii leo kwa mazungumzo.
Wawili hao walizumngumza mambo mbalimbali yazihusuzo nchi zao na
ushuirikiano uliopo bainaya nchi hizo.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)