Rais wa Zanzibar,Dk Shein akutana na Balozi wa Misri - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais wa Zanzibar,Dk Shein akutana na Balozi wa Misri

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Misri nchini Tanzania Hassan Moharam,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana,kwa ajili ya kujitambulisha kwa Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Misri nchini Tanzania Hassan Moharam,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,kwa ajili ya kujitambulisha kwa Rais. (13/03/2012)Credits:  Full Shangwe Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages