Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China Mh Li Jonzhao baada ya mgeni huyo na ujumbe wake kumtembelea Ikulu Dar es salaam leo March 23, 2012 kwa mazungumzo.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Naibu Waziri
wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China Mh Li Jonzhao na ujumbe wake
walipomtembelea Ikulu Dar es salaam leo March 23, 2012 kwa mazungumzo.
Mawaziri wa Fedha Mh Mustafa Mkullo, Uchukuzi Dr Omar Nundu na Nishati
na Madini Mh William Ngeleja walihudhuria mazungumzo hayo.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika
mazungumzo na Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China Mh Li
Jonzhao baada ya mgeni huyo na ujumbe wake kumtembelea Ikulu Dar es
salaam leo March 23, 2012 kwa mazungumzo. Katikati yao ni mkalimani na
wengine ni ujumbe wa Mh Jonzhao. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)