Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mkuu wa wilaya ya Liwale, Mh Paul Chiwile amefariki dunia akiwa mjini lindi akiwa ameenda kwenye mkutano, Mauti hayo yamemkuta akiwa usingizini kwenye nyumba ya kulala wageni aliyofikia huko Lindi.Lukaza Blog inaendelea kufuatilia taarifa hii.
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)