Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,
amemteua BALOZI LIBERATA R. MULAMULA (Pichani), kuwa MSAIDIZI WA RAIS
MWANDAMIZI, MASUALA YA DIPLOMASIA.
Kabla ya kuteuliwa kwake Balozi Mulamula alikuwa Katibu Mtendaji wa Nchi za Maziwa Makuu.
Uteuzi huu unaanza tarehe 28 Februari, 2012.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
14 Machi, 2012

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)