Kaimu
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa (kulia)
akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kabla ya
kuchezesha droo ya kwanza ya mwezi kupitia promosheni ya M-pesa ili
kupata mshindi wa shilingi Milioni kumi, wa pili kutoka kwa Rukia
ni Ofisa Masoko wa M-pesa, Reenu Verma, na Meneja wa Mifumo ya
kompyuta, Patrick Makungu pamoja na mwakilishi wa Bodi ya michezo ya
kubahatisha Tanzania,. Chiku Saleh.
Mkuu
wa Kitengo cha Mifumo ya Kompyuta kutoka kampuni ya Simu za Mkononi ya
Vodacom Tanzania, Josephat Kyando, akimsikiliza kwa makini Kaimu Mkuu
wa Kitengo cha Mahusiano Rukia Mtingwa wakati wa kuchezesha droo ya
kwanza ya mwezi kupitia promosheni ya M-pesa ili kupata mshindi wa
shilingi milioni kumi.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)