| Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya Mhe.Dkt.Batilda Burian ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. |
| Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na balozi mpya wa Tanzania nchini Misri Mhe.Mohamed Haji Hamza ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. |
| Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na balozi mpya wa Tanzania nchini Zambia Mhe.Grace Mujuma ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. (picha zote na Freddy Maro) |





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)