Msanii
Mpya wa bendi ya Msondo ngoma, Shabani Lendi (kushoto) akipuliza
Saxphone wakati wa onesho la bendi hiyo iliyofanyika jumapili katika
Ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni wengine ni Hamisi Mnyupe, Romani Mngande
na Msemaji wa Bendi hiyo Rajabu Mhamila Super D
Waimbaji
wa bendi ya Msondo ngoma wakiimba wakati wa onesho lao lililofanyika
jumapili katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kutoka kushoto ni Hasani
Moshi,Shabani Dede,Msemaji wa Bendi hiyo Rajabu Mhamila Super D na
mwimbaji Juma Katundu.
Msanii mpya wa bendi ya Msondo ngoma Shabani Lendi Akifanya vitu vyake wakati wa Onesho Hili





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)