Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais wa chama cha madaktari wa
Kinywa na Meno Nchini Dk. Rachel Mhavile (kulia) na Kaimu Mganga Mkuu
wa Serikali Dk. Donnan Mmbando baada ya kufungua mkutano wa siku tatu
wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya
awali ya kupata huduma ambapo jumla ya wajumbe kutoka nchi 18
wanahudhuria mkutano huo.Picha na Anna Nkinda - Maelezo
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)