Mashabiki wa Simba Sports Club wakiwa juu ya mnara ambao upo nje ya uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma wakifuatilia Kwa Makini Mechi Dhidi ya Simba na Polisi Dodoma unaoendelea Muda huu kama walivyonaswa na kamera yetu muda .Haijafahamika kama Mashabiki hawa wamekosa pesa ya kiingilio au ndio Vya bure
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)