Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango aapishwa Ikulu - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango aapishwa Ikulu

Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bwana, Longinus Rutasitara akila kiapo mbele ya Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  ikulu jijini Dar es Salaam leo.Wa (pili kushoto anayeshuhudia) ni Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue na (wa tatu kushoto) ni Karani wa Baraza la Mawaziri, Bwana Gerson Mdemu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimrekebisha koti Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bwana Longinus Rutasitara muda mfupi baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi .Kulia ni Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal aliyehudhuria hafla hiyo. (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages