Dr. Engineer Shabani G Kachua akijiandaa kuingia
kwenye Professional Engineer Induction Ceremony nchini Canada
Hapa Dr. Kachua akionyesha moja ya Nishani
aliyotunukiwa siku hiyo
Dr Kachua akiwa amesimama kwa nyuma na Mainjinia
wenzake
Akipiga picha ya pamoja kwa kumbukumbu na
mainjinia wenzake. Kwa niaba ya Watanzania ninapenda kukupongeza
kwa kuipeperusha vema Bendera ya Tanzania.Picha na Mdau Henry henry
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)