CCM YAENDELEA NA KAMPENI MJI MDOGO WA MBUGUNI HUKO ARUMERU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

CCM YAENDELEA NA KAMPENI MJI MDOGO WA MBUGUNI HUKO ARUMERU

Mratibu wa kampeni za CCM Arumeru Mashariki, Mwigulu Nchemba akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano uliofanyika mji mdogo wa Mbuguni, Kata ya Mbuguni, Arumeru Mshariki jana.
Mwigulu akimnadi mgombea ubunge wa CCM, Sioi Sumari katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana mji mdogo wa Mbuguni Kata ya Mbuguni, Arumeru Mshariki.
Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akiomba kura mamia ya wananchi waliohudhutria mkutano wa kampeni za CCM katika mji mdogo wa Mbuguni, Kata ya Mbuguni.(Picha zote na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages