Mwalimu wa
Shule ya Awali ya Kivulini, Dar es Salaam, Catherine Francis akifundisha
baadhi ya watoto wa shule hiyo kuhusu ramani ya Tanzania katika Soko la
Kimataifa la Samaki la Magogoni jijini Dar es Salaam. Shule hiyo
iliyojengwa kwa turubai ina watoto 15 ambao wazazi wao wanafanya
shughuli katika soko hilo na wamalizapo huwapitia na kurejea nao
nyumbani. (Picha na Mohamed Mambo).
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)