Baraza la Biashara lakutana na Rais Dk Shein JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Baraza la Biashara lakutana na Rais Dk Shein JANA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizunagumza na Uongozi wa Baraza la Wafanyabiashara,Wenye viwanda na Wakulima,Zanzibar walipofika ikulu Mjini Zanzibar jana na walizungumzia masuala ya ushirikiano kati ya sekta binafsi na sekta za Umma,(wa tatu kulia)ni Rais wa Jumuiya ya wafanya Biashara na wenyeviwanda na wakulima,(Chamber) Mbarouk Omar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizunagumza na Uongozi wa Baraza la Wafanyabiashara,Wenye viwanda na Wakulima,Zanzibar walipofika ikulu Mjini Zanzibar jana na walizungumzia masuala ya ushirikiano kati ya sekta binafsi na sekta za Umma,(wa pili kulia)ni Rais wa Jumuiya ya wafanya Biashara na wenyeviwanda na wakulima,(Chamber) Mbarouk Omar. Picha na Ramdhan Othman IKULU.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages