Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Bibi
Tonia Kandiero,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,kujitambulisha kwa Rais
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB)
Bibi Tonia Kandiero,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,kujitambulisha
kwa Rais.Picha na Ramadhan Othaman,IKULU-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)