Halfa Fupi ya Kumuaga Aliyekuwa Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za WanyongeTanzania(MKURABITA) Mhandisi Ladislaus Lema - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Halfa Fupi ya Kumuaga Aliyekuwa Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za WanyongeTanzania(MKURABITA) Mhandisi Ladislaus Lema

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya MKURABITA na Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda akihutubia jana jijini Dar es salaam wakati wa halfa fupi ya kumuaga aliyekuwa Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za WanyongeTanzania(MKURABITA) Mhandisi Ladislaus Lema baada kustaafu rasmi Desemba 2011.
Naibu Katibu Mkuu Ikulu Susan Mlawi akihutubia jana jijini Dar es salaam wakati wa halfa fupi ya kumuaga aliyekuwa Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za WanyongeTanzania(MKURABITA) Mhandisi Ladislaus Lema baada kustaafu rasmi Desemba 2011
Mratibu wa MKURABITA akitoa neno la utangulizi jana jijini Dar es salaam wakati wa halfa fupi ya kumuaga aliyekuwa Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za WanyongeTanzania(MKURABITA) Mhandisi Ladislaus Lema baada kustaafu rasmi Desemba 2011.
Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za WanyongeTanzania(MKURABITA) Mstaafau Mhandisi Ladislaus Lema akitoa neno la shukurani jana jijini Dare s salaam wakati wa halfa fupi ya kumuaga baada kustaafu rasmi Desemba 2011 wakati wa sherehe fupi iliyoandaliwa na Ofisi ya MKURABITA.
Baadhi ya wafanyakazi Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za WanyongeTanzania(MKURABITA) wakitoa zawadi ya Komputya jana jijini Dar es salaam kwa aliyekuwa Mratibu wa MKURATIBA Mhandisi Ladislaus Lema baada kustaafu rasmi Desemba 2011.
Wakiwa katika picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages