MKUTANO WA HEIFER INTERNATIONAL WAFANYA TATHMINI YA MIAKA 5 ILIYOPITA NA MIKAKATI YA MIAKA 5 IJAYO WAFUNGULIWA RASMI LEO JIJINI DAR ES SALAAM. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKUTANO WA HEIFER INTERNATIONAL WAFANYA TATHMINI YA MIAKA 5 ILIYOPITA NA MIKAKATI YA MIAKA 5 IJAYO WAFUNGULIWA RASMI LEO JIJINI DAR ES SALAAM.

Mkurugenzi wa Afrika Mashariki wa taasisi isiyo ya kiserikari ya Heifer International, Saeed Bancie (kushoto) akifungua mkutano wa tathmini ya miaka mitano iliyopita na mikakati ya miaka mitano ijayo ya kazi zifanywazo na taasisi hiyo Dar es Salaam jana.Waliokaa ni baadhi ya wafanyakazi na wadau wa taasisi hiyo.
Wadau wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika Mashariki wakati wa ufunguzi
Wakisikiza kwa makini

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages