MISS WORLD SASA KUFANYIKA MWEZI WA NANE NCHINI CHINA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

MISS WORLD SASA KUFANYIKA MWEZI WA NANE NCHINI CHINA

1Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya Miss Tanzania Bw.Hashim Lundenga katikati akiongea na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Hadee's jijini Dar es salaam, juu ya mabadiliko ya uendeshaji wa mashindano ya Miss Tanzania kuanzia mwaka huu kutokana na mabadiliko ya kalenda ya kutafuta mrembo wa dunia ambayo mwaka huu yanafanyika mwezi wa nane nchini china Kushoto ni mkuu wa itifaki Bw.Albert Makoye na kulia mtaalamu wa Miss Tanzania Dr.Ramesh Shah. 
2Baadhi ya waandishi wa habari waliodhuria katika mkutano huo.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages