Mkurugenzi wa 1Plus, Fina Mango waandaji wa Tuzo hizo akizungumza wakati wa Semina hiyo iliyofanyika jijini, Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari za Burudani wakifuatilia kwa makini Semina hiyo
Katibu
wa Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) Angelo Luhala
akielezea historia ya Tuzo hizo katika Semina kwa waandishi
Meneja
wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akizungumza wakati wa Semina ya
Tuzo za Muziki kwa mwaka huu zinazotarajia kufanyika April.Picha/ Habari kwa hisani ya Amani Tanzania Blogu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)