Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad ambaye pia ni
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF akitoa nasaha fupi kwa wakazi wa
Tanga baada ya kuwasili katika Wilaya hiyo akitokea jijini Dar es
Salaam. (Kesho tarehe 23/03/2012 anatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara
mjini Tanga). Pamoja nae ni mgombea wa udiwani katika kata ya Msambweni
Tanga kupitia CUF Abrahman Hassan Omar.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akipokelewa
katika uwanja wa ndege wa Tanga baada ya kuwasili katika Wilaya hiyo
akitokea jijini Dar es Salaam
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akipokelewa
katika uwanja wa ndege wa Tanga baada ya kuwasili katika Wilaya hiyo
akitokea jijini Dar es Salaam
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akikagua ngoma
za asili katika uwanja wa ndege wa Tanga baada ya kutua katika akitokea
jijini Dar es Salaam.Picha na Salmin Said-Ofisi ya Makamu Wa Kwanza Wa
Rais Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)