Mfanyakazi wa
kampuni ya Clouds Media, Said Bonge 'Bonge' akirekebisha singe kwenye
mnara wa askari katika makutano ya mtaa wa Samora na Azikiwe Dar es
Salaam jana. Singe hiyo ilikunjwa wiki iliyopita na mtu anayedaiwa kuwa
ni mgonjwa wa akili aliyetaka kuiangusha sanamu hiyo inayolitambulisha
jiji la Dar es Salaam.(Na Mpigapicha wetu)
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)