Mabalozi wa Vatican, Saudia na Zambia Wawasilisha hati Zao kwa Rais Dkt.Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mabalozi wa Vatican, Saudia na Zambia Wawasilisha hati Zao kwa Rais Dkt.Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utamblisho kutoka kwa mabalozi watatu wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania.Waliowasilisha hati zao leo ikulu jijini Dar es Salaam ni pamoja na Mhe. Hani Bin Abdullah bin Mohamed Mu’minah wa Saudi Arabia, Askofu Mkuu Mhashamu Francisco Mentecillo Padilla wa Vatican, na Mhe.Bi. Judith Kangoma Kapijimpanga wa Zambia.Pichani Balozi mpya wa Vatican nchini, Askofu Mkuu Mhashamu Francisco Montecillo Padilla akiwasilisha hati zake kwa Rais Kikwete.Katikati anayeshuhudia ni Mkuu wa Itifaki Balozi Antony Itatiro. (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages