MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIA YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIA YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Sophia Simba akiinua kitenge kushangilia wakati akijumuika na wanawake wenzake kusakata muziki katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, leo kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
Waziri Sophia Simba akisakata muziki na wanawake kwenye sherehe hizo
Wanawake kutoka Taasisi mbalimbali na wakijumika kucheza muziki kwa shangwe kubwa wakati wa sherehe hizo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam, leo
Waziri Sophia Simba na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake mkoa wa Dar es Salaam, Zarina Madabina wakiwatuza wasanii waliokuwa wakicheza muziki wa Makhiri-Khiri kwenye sherehe hizo.Picha Kwa Hisani ya Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages