Meneja Udhamini na Matukio wa Benki ya NBC, Rachel Remona Kimambo
(kushoto) akikabidhi mfano ya hundi ya shs milioni sita kwa Tatu Ngao
aliyeibuka kidedea katika Tuzo ya Heshima ya Mwanamakuka katika hafla
iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi sambamba na Maadhimisho ya Siku
ya Wanawake Duniani. Tuzo hizo ambazo NBC ilikuwa mdhamini mkuu
ziliandaliwa na Umoja wa Wanawake Marafiki (UWF). Wa pili kulia ni
Mwenyekiti wa UWF, Mwate Madinda na Dina Marios mmoja wa waratibu wa
tuzo hizo.
Meneja
Udhamini na Matukio wa Benki ya NBC, Rachel Remona Kimambo (kushoto)
akikabidhi mfano ya hundi ya shs milioni mbili na nusu kwa Mwanne
Msekalile, mshindi wa pili wa Tuzo ya Heshima ya Mwanamakuka 2012 katika
hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi sambamba na Maadhimisho ya
Siku ya Wanawake Duniani. Tuzo hizo ambazo NBC ilikuwa mdhamini mkuu
ziliandaliwa na Umoja wa Wanawake Marafiki (UWF). Wa pili kulia ni
Mwenyekiti wa UWF, Mwate Madinda na Dina Marios mmoja wa waratibu wa
tuzo hizo.
Meneja Udhamini na Matukio wa Benki ya NBC, Rachel Remona Kimambo
(kushoto) akikabidhi mfano ya hundi ya shs milioni moja nusu kwa
Sikudhani Daudi mshindi wa tatu wa Tuzo ya Heshima ya Mwanamakuka katika
hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi sambamba na Maadhimisho ya
Siku ya Wanawake Duniani. Tuzo hizo ambazo NBC ilikuwa mdhamini mkuu
ziliandaliwa na Umoja wa Wanawake Marafiki (UWF). Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa UWF, Mwate Madinda na Dina Marios mmoja wa waratibu wa tuzo hizo
Baadhi ya wanawake waliohudhuria hafla ya utoaji tuzo ya Heshima ya
Mwanamakuka katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam juzi usiku.
Waziri
wa zamani na mwanasiasa mkongwe, Zakia Meghji (katikati) akiselebuka
pamoja na baadhi ya wanawake waliohudhuria hafla ya utoaji tuzo ya
Heshima ya Mwanamakuka 2012 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
juzi usiku.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)