Mwanamuziki
Tlou Cleopas Monyepae maarufu kama DJ Cleo Kutoka nchini Afrika ya
Kusini akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere usiku
huu, tayari kwa onyesho lake litakalofanyika kwenye viwanja vya Posta
Kijitonyama jijini Dar es salaam siku ya Machi 10, 2012 siku ya
jumamosi, Mwanamuziki huyo kwa sasa anatamba na wimbo wake wa FACEBOOK
na ameongozana na wanamuziki wenzake wawili ambapo FULLSHANGWEBLOG
imeshuhudia kuwasilia kwake.
Mwanamuziki
Tlou Cleopas Monyepae maarufu kama DJ Cleo Kutoka nchini Afrikaya
Kusini akisalimiana na Mkurugenzi wa Times FM Radio Rehure Nyaulawa
ambaye ndiye mwenyeji wake wakati alipokuwa akipmokea kwenye uwanja wa
ndege wa J.K.Nyerere.
Mwanamuziki
Tlou Cleopas Monyepae maarufu kama DJ Cleo Kutoka nchini Afrika ya
Kusini katikati akiongozan na wanamuziki wenzake kwenda kupanda gari
tayari kuelekea hoteli ya Protea ambako ndiko walikofikia.Picha Na Mroki Mroki 




No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)