Captain
John Komba akiwasili kwenye jukwaa maalum leo asubuhi kuhakikisha kila
kitu kimekaa sawa tayari kabisa kwa uzinduzi wa kampeni za CCM jimbo la
Arumeru Leo
Wakina
Mama wakiwa wamevalia Flana za CCM zenye Maneno Chagua Sumari Wakiwa
tayari kabisa kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni Za CCM Leo Arumeru
Wadau Mbalimbali wakiangalia kwa makini Matayarisho ya Uzinduzi wa Kampeni za CCM arumeru leo asubuhi
Leo
Saa Kumi Jioni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Benjamin Mkapa atazindua
rasmi kampeni za Chama cha Mapinduzi(CCM)Jimbo la Arumeru.Picha na Mdau
Maalum Wa Mjengwa -Arumeru
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)