Muonekano wa kisasa wa isumba Lounge
Maandhari tulivu na ya kisasa ya Isumba Lounge.
Mchanganyiko wa Dinning na Chilling Couches ili kukidhi mahitaji tofauti
Welcome Drinks kwa wateja wa awali wa Isumba lounge.
(Jaq) Mmoja wa Hostes wa Isumba Lounge akitoa welcome drinks kwa wateja wa awali.
Norman Bakita akililia gitaa wakati wa Jazz session
Junior Gringo akitumbuiza kwenye ufunguzi wa Isumba Lounge .
Isumba Lounge host/ss wakiwa kwenye picha ya pamoja
General Menager wa Jollies akitoa maelekezo ya Mwisho mwisho ya Huduma kwa Wateja.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)