DK. HARRISON MWAKYEMBE AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI OFISINI KWAKE DAR LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

DK. HARRISON MWAKYEMBE AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI OFISINI KWAKE DAR LEO

1Nauibu Waziri wa Ujenzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, akizungumza na waandishi wa habari   ofisini kwake jijini Dar es salaam leo, kuhusu maendeleo ya afya yake baada ya kurejea nchini ambapo amesema kuwa kwa hivi sasa anaendelea vizuri na kwamba yupo fiti kiafya, na tayari ameripoti ofisini rasmi leo kwa kuanza kazi. Mwakyembe hakutaka kuweka wazi kuhusu mambo mengine aliyokuwa akiulizwa na waandishi wa habari kuhusu uvumi ulioenea juu ya afya yake na kusema mambo yote anaiachia serikali kupitia tume maalumu iliyoundwa kufutilia suala la ugonjwa wake.
2Dr Mwakyembe akijibu maswali mbalimbali kutoka kwa waandishi wa habari ofisini kwake leo . Picha na Mpiga Picha Wetu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages