
Marehemu Jane Mponzi

Marehemu Jane Makange na Herry Makange enzi za uhai wao katika Send off ya Jane.
---
Nivigumu kuamini katika mazingira ya kawaida...lakini Ukweli ni kuwa Jane Mponzi (Mrs Herry Makange) hatunaye tena duniani.
---
Nivigumu kuamini katika mazingira ya kawaida...lakini Ukweli ni kuwa Jane Mponzi (Mrs Herry Makange) hatunaye tena duniani.
Hakika ni kifo na msiba wa kustua sana, Jane amefariki ghafla kama alivyofariki Mume wake Herry Makange miaka kadhaa iliyopita.
Marehemu Jane amefariki jana Jumapili machi 4,2012 asubuhi kwa shinikizo la damu Mengi
yanaweza kusemwa lakini Ukweli utabaki pale pale kuwa Jane hatunae
tena. Nimajonzi kwa kila amjuaye na anaemfahamu Jane,Jane pumzika kwa
amani na Mungu akupe faraja ya milele
Blogu
hii inatoa pole kwa Mtoto wako kipenzi, Familia ya Mzee Mponzi, Ndugu
jamaa na marafiki zako wote na familia nzima ya Vodacom Tanzania.
Buruani Jane Mponzi.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)