Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adamu Malima akimsikiliza kijana Ruta Aloyce, aliyeshiriki kuzuia kwa muda msafara wa Naibu Waziri huyo katika kijiji cha Muze jana akiwa njiani kwenda kijijini Musiya katika Bonde la Ziwa Rukwa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adamu Malima akimsikiliza kijana Ruta Aloyce, aliyeshiriki kuzuia kwa muda msafara wa Naibu Waziri huyo katika kijiji cha Muze jana akiwa njiani kwenda kijijini Musiya katika Bonde la Ziwa Rukwa

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adamu Malima akimsikiliza kijana Ruta Aloyce, aliyeshiriki kuzuia kwa muda msafara wa Naibu Waziri huyo katika kijiji cha Muze jana akiwa njiani kwenda kijijini Musiya katika Bonde la Ziwa Rukwa, hata hivyo alikuwa tayari kusikiliza kero zao ikiwemo kero kubwa ya maji inayokikabili kijiji cha Muze kilichopo katika bonde hilo, wilayani Sumbawanga Vijijini. (Picha na Peti Siyame).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages