Benki ya Posta Tanzania Yatoa Msaada Wa Millioni 5 Kwa Shule ya Chumbuni Zanzibar - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Benki ya Posta Tanzania Yatoa Msaada Wa Millioni 5 Kwa Shule ya Chumbuni Zanzibar

Benki ya Posta Tanzania imekabidhi sh.milioni 5 kwa shule ya Chumbuni Zanzibar ukiwa ni msaada wa kununulia madawati kwa shule hiyo. Pichani Meneja mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi (kushoto) akikabidhi mfano wa hudi kwa Naibu Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pereira Ame Silima katika sherehe iliyofanyika kwenye shule hiyo  jana.Picha na Martin Kabemba

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages