Bazara la Habari Tanzania lakutana na Rais wa Zanzibar, Dk. Shein - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Bazara la Habari Tanzania lakutana na Rais wa Zanzibar, Dk. Shein


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania, ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo,chini Makamo Mwenyekiti wa baraza hilo,Chande Omar (wa pili kulia) pia Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazji ya Zanzibar. Picha/Ramadhan Othman  wa Ikulu Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages