Waziri wa Muungano Samia Suluhu aendelea na Ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo Zanzibar - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri wa Muungano Samia Suluhu aendelea na Ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo Zanzibar



 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan (kushoto), akionyeshwa kito kinachotengeneza Lulu ambayo hufanywa Pete na Katibu wa Kampuni ya Ukweli ni Njia Safi, Bi. Safia Hashim alipotembelea kikundi cha akini mama cha Bweleo Wilaya ya Magharibi Unguja wakati wa Ziara yake yakuangalia Miradi ya Maendeleo ya TASAF, inayofadhiliwa na Serikali ya Muungano. (Picha na Ali Meja)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages