Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan
akionyeshwa Shamba la Migomba la Kikundi cha Ushirika wa Kumekucha cha
Mzuri Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja na Mratibu wa Programu za
Kuimarisha huduma za Kilimo na mifugo Bw. Zaki Khamis Wakati wa Ziara ya
Waziri kutembelea Miradi inayofadhiliwa na Serikali ya Muungano[Picha
na Ali Meja}
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)