MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI ‘MR II A.K.A SUGU’ - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI ‘MR II A.K.A SUGU’

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Mr. ii au Sugu’, wakati akiondoka eneo la Uyole, baada ya kuweka jiwe la msingi katika jengo la SACCOS-UWAMU lililopo Mbeya mjini, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Mbeya jana Februari 25, 2012.
Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi au Mr Sugu akionekana kuongea jambo na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal wakati alipokutana naye jana katika ziara yake mkoani Mbeya.Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages