Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akisalimiana na Brigedia Jenerali wa JWTZ Farah Abdi
Mohamed,wakati alipowasili katika kambi ya Bavuai huko Migombani nje
ya Mji wa Zanzibar jana,wakati alipowaalika Maaskari wa Vikosi vya
Ulinzi na Usalama,walioshiriki katika maadhimisho ya miaka 48 ya
Mapinduzi ya Zanzibar,katika chakula cha Mchana leo.
Makamo wa Pili wa Rais wa Balozi Seif Ali Iddi,akisalimiana
na Brigedia Jenerali wa JWTZ Farah Abdi Mohamed,wakati alipowasili
katika kambi ya Bavuai huko Migombani nje ya Mji wa Zanzibar
jana,wakati hafla ya chakula cha mchana walichoandaliwa Maaskari wa
Vikosi vya Ulinzi na Usalama,walioshiriki katika maadhimisho ya miaka
48 ya Mapinduzi ya Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akisalimiana na Brigedia Jenerali wa JWTZ Farah Abdi
Mohamed,wakati alipowasili katika kambi ya Bavuai huko Migombani nje
ya Mji wa Zanzibar jana,wakati alipowaalika Maaskari wa Vikosi vya
Ulinzi na Usalama,walioshiriki katika maadhimisho ya miaka 48 ya
Mapinduzi ya Zanzibar,katika chakula cha Mchana leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein,akiwapungia mkono Maaskari wa Vikosi vya Ulinzi na
Usalama, walioshiriki katika maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi ya
Zanzibar,wakati alipowaalika chakula cha mchana katika kambi ya Bavuai
huko Migombani nje ya Mji wa Zanzibar jana,(kulia) Waziri Nchi Ofisi
ya Rais Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Makame.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi .Ali
Shein,akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Balozi Seif Ali
Iddi,wakati alipowasili katika kambi ya Bavuai huko Migombani nje ya
Mji wa Zanzibar jana,wakati alipowaalika Maaskari wa Vikosi vya
Ulinzi na Usalama,walioshiriki katika maadhimisho ya miaka 48 ya
Mapinduzi ya Zanzibar,katika chakula cha Mchana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ali
Shein,(katikati) pamoja na Makamo wa Pili wa Rais wa Balozi Seif Ali
Iddi,na Viongozi wengine wakiwa wamesimama Wimbo wa Taifa Ukipigwa na
Vikundi vya Brassband vya Vikosi vya Ulinzi wakati wa Sherehe za
Kuwapongeza wanajeshi hao kwa kuwaalika chakula cha Mchana,kwa
kushiriki kwao katika maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi ya
Zanzibar,huko katika Kambi ya Bavuai,Iliyopo Migombani Nje ya Mji wa
Zanzibar leo.
Baadhi ya Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi na
Usalama,wakiwa katika hafla ya chakula cha mchana walichoandaliwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Dk.Ali Mohamed
Shein,jana katika Kambi ya Bavuai,Migombani Nje ya Mji wa
Zanzibar,kwa ushirikiwao katika maadhimisho ya sherehe za miaka 48
ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika katika uwanja wa Amaan
Studium Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akifuatiwa na Kamanda wa Brigedia
ya Nyuki 101KV Brigedia Jenerali Farah Abdi Mohamed,Makamo wa Pili wa
Rais wa Balozi Seif Ali Iddi,na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Mwinyihaji Makame,wakichukua
chakula cha mchana, walichoandaliwa Vikosi vya Ulinzi na Usalama,kwa
ushirikiwao katika maadhimisho ya sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi
ya Zanzibar, zilizofanyika katika uwanja wa Amaan Studium Mjini
Zanzibar,huko katika Kambi ya Bavuai,Migombani Nje ya Mji wa Unguja
leo.
Baadhi ya maaskari walioshiriki katika maadhimisho ya
sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika katika
uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar,wakichukua chakula
walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Ali Mohamed Shein,katika Kambi ya Bavuai,Migombani Nje ya
Mji wa Unguja leo.
Baadhi ya maaskari walioshiriki katika maadhimisho ya
sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika katika
uwanja wa Amaan Studium Zanzibar,wakiwa katika hafla ya chakula cha
mchana walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Ali Mohamed Shein,katika Kambi ya Bavuai,Migombani Nje ya
Mji wa Unguja leo.Picha/Habari Kwa Hisani ya John Bukuku Wa Full Shangwe Blogu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)