Mgeni
rasmi katika sherehe za miaka 50 ya chama tawala cha Botswana, Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse
Khama Ian Khama, Makamu wa Rais wa Afrika Kusini Bw Kgalema Nontlanthe,
na Marais Wastaafu wa Botswana Sir Ketumile Masire ( wa pili shoto) na
Bw Festus Mogae, wakijiandaa kukata keki ya sherehe hizo katika uwanja
wa Chuo Kikuu cha Botswana leo February 25, 2012.
Mgeni
rasmi katika sherehe za miaka 50 ya chama tawala cha Botswana, Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse
Khama Ian Khama, Makamuw a rais wa Afrika Kusini Bw Kgalema Nontlanthe,
na Marais Wastaafu wa Botswana Sir Ketumile Masire ( wa pili shoto) na
Bw Festus Mogae, wakiwa chini ya mti wa Marula ambako miaka 50 ilopita
BDP ilizaliwa.
Mgeni rasmi katika sherehe za miaka 50 ya chama tawala cha Botswana,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais wa Botswana Luteni Jenerali
Seretse Khama Ian Khama, wakimshangilia Rais wa Zamani wa Botswana Sir
Kitumile Masire akifunua kitambaa kuweka bango la mahali ilipozaliwa BDP
Mgeni rasmi katika sherehe za miaka 50 ya chama tawala cha Botswana,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais wa Botswana Luteni Jenerali
Seretse Khama Ian Khama, Makamuw a rais wa Afrika Kusini Bw Kgalema
Nontlanthe, na Marais Wastaafu wa Botswana Sir Ketumile Masire ( wa pili
shoto) na Bw Festus Mogae, wakimwangalia Rais wa zamani wa Botswana
akiwasha mwenge chini ya mti wa Marula palikoanzishwea BDP
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)