Mwenyekiti
wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib (kulia) akiwa na
wajumbe pamoja na viongozi wa mtandao huo walipokwenda kuangalia ujenzi
unaoendelea wa nyumba zao, katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya
Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani jana wa pili kulia ni Ahmed Olotu
'Chilo' Kikumbi Mwanza Mpango ' King Kiki' Katibu wa mtandao huo,
Selemani Pembe.
Mwenyekiti
wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib akitoa maelezo
ya nyumba zinazoendelea kujengwa katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji
Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani jana
Mwenyekiti
wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib (kulia) akiwa na
wajumbe pamoja na viongozi wa mtandao huo walipokwenda kuangalia ujenzi
unaoendelea wa nyumba zao, katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya
Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani jana wa pili kulia ni Ahmed Olotu
'Chilo' Kikumbi Mwanza Mpango ' King Kiki' Katibu wa mtandao huo,
Selemani Pembe.
Mwenyekiti
wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib (katikati)
akimwelekeza Sheikh Majaliwa Selemani aliekwenda kuangalia maendeleo ya
kijiji cha Mwanzega Mkulanga Tarafa ya Chingungweni, zinapojengwa nyuma
kwa ajili ya wasanii Sheikh Majaliwa , alitoa Ahadi ya kujenga Msikiti
na Madrasa itakayofadhiliwa na African Relief Comettee Kuwait
Waandishi
wa habari za michezo pamoja na wasanii, wakitembea kwa ajili ya kwenda
kuangalia ujenzi unaoendelea wa nyumba zao, katika kijiji cha Mwanzega
Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani jana kutoka kulia
ni Tomm Chilala, Kibwana Dachi na Kikumbi Mwanza Mpango ' King
Kiki'.(picha na www.burudan.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)