Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwa meza kuu na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed
Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) na Rais Mstaafu wa Zanzibar
Dkt Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan
Mwinyi, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mh Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa
CCM Mh Wilson Mkama kabla ya kuanza kwa mkutano wa Halmashauri Kuu leo
katika jengo la White House la Makao Makuu ya chama hicho mjini Dodoma
leo
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)