Michezo
mingi ya kutumia vifaa vya kisasa ipo mijini kutokanana na urahisi wa
kupata vifaa hivyo vya kuchezea. Pichani ni vijana na watoto walio na
uchu wa kucheza mchezo wa pool na kuamua kutengeneza meza yao ya pool na
kucheza kwa kutumia ndulele kama inavyoonekana katika picha hii. Hakika
huu ni ubunifu na huyu ane cheza hapa ukimpeleka katika meza ya kisasa
bilashaka atacheza vyema. Mungu Ibariki Tanzania.Credits Father Kidevu Blogu
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)