WANANCHI WALEWA CHAKALI MARA BAADA YA GARI LILILOBEBA BIA KUPINDUKA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WANANCHI WALEWA CHAKALI MARA BAADA YA GARI LILILOBEBA BIA KUPINDUKA

Mwanakijiji akiwa bwakisi baada ya kujipelekea bia zisizo na idadi.
Ajali hii imetokea barabara ya kibeta maeneo ya Magoti.
Mmiliki wa mali hii ni Ndg Mganyizi mkazi wa Hamugembe Bukoba.
Anaonekana Mama Mganyizi akijaribu kusimamia kile kilichosalia.
Kishindo Cha gari kuanguka kimewakusanya wana kijiji na kushambulia bia kikubwa walicho ambiwa ni kutokuchukua chupa majumbani.
Ajali ni ajali ila ukiangalia eneo la tukio na kilichotokea kiukweli vimepishana kabisa.
Hii ni barabara ilipotokea ajali hii,Mdau unaweza kuona mazingira haya na kile ninachokizungumzia.CHANZO: BLOGU YA BUKOBA WADAU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages