Ofisa
Uhusiano wa Kampuni ya Tigo ,Bi, Alice Maro (kushoto) na Mratibu wa
Matukio wa Kampuni hiyo Bw.Edward Shik wakimkabidhi mshindi wa lap
top Bw.Dickson Saruti wakati wa kugawa zawadi kwa washindi wa
promosheni ya 'zamu yako kushinda.
Ofisa
Uhusiano wa Kampuni ya Tigo ,Bi, Alice Maro (kushoto) na Mratibu wa
Matukio wa Kampuni hiyo Bw.Edward Shik wakimkabidhi mshindi wa
milioni nne Bw.Issack Rajabu wakati wa kugawa zawadi kwa washindi wa
promosheni ya 'zamu yako kushinda.(picha na burudan blog)Ofisa
Uhusiano wa Kampuni ya Tigo ,Bi, Alice Maro (kushoto) na Mratibu wa
Matukio wa Kampuni hiyo Bw.Edward Shik wakimkabidhi mshindi wa
milioni nne Bw.Benetson Gobelabo wakati wa kugawa zawadi kwa washindi
wa promosheni ya 'zamu yako kushinda.
Ofisa
Uhusiano wa Kampuni ya Tigo ,Bi, Alice Maro (kushoto) na Mratibu wa
Matukio wa Kampuni hiyo Bw.Edward Shik wakimkabidhi mshindi wa lap
top Bi.Theresia Kagoma wakati wa kugawa zawadi kwa washindi wa
promosheni ya 'zamu yako kushinda.
(picha na burudan blog)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)