Mgeni rasmi , Waziri wa Habari Utamaduni, Vijana na Michezo, Dk.
Emmanuel Nchimbi (kulia) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas
Gama uwanjani.
Mwanariadha Mkongwe kuliko wote na maarufu katika mbio hizo babu kutoka Arusha akishangilia kumaliza kilometa 21.
Pichani ni kundi la wakimbiaji wa Kenya Kilometa 42 wanawake,
wakikimbia kwa pamoja na hatimaye kufanikiwa kushinda mbio hizo. Picha
na FATHER KIDEVU BLOG
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)