Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Mwinda
Kiula-Mfugale akijiandaa kupiga mpira wakati wa uzinduzi wa mashindano
ya siku moja ya Gofu ya Lady Captains’ Trophy 2011 yaliyodhaminiwa na
benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Wengine ni wachezaji na maofisa
wa NBC.
Nahodha wa DGC Ladies Golf Section, Vivienne Mwaulambo akipiga
mpira wakati wa uzinduzi wa mashindano ya siku moja ya Gofu ya Lady
Captains’ Trophy 2011 yaliyodhaminiwa na benki hiyo jijini Dar es
Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Mwinda
Kiula-Mfugale, baadhi ya wachezaji na maofisa wa benki hiyo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)