Veronica Lawrence, mama wa mtoto wa miezi mitano, Suleiman Abdallah, akionesha utumbo wa mwanawe uliotokeza nje akiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam Ijumaa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Veronica Lawrence, mama wa mtoto wa miezi mitano, Suleiman Abdallah, akionesha utumbo wa mwanawe uliotokeza nje akiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam Ijumaa

Veronica Lawrence, mama wa mtoto wa miezi mitano, Suleiman Abdallah, akionesha utumbo wa mwanawe uliotokeza nje akiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam Ijumaa kufuatilia matibabu. Tundu hilo ndipo inapotokea haja kubwa ikichanganyika na damu na alishawahi kulazwa hospitalini hapo kwa takribani miezi miwili na bado hajapata nafuu. (Picha na Mohamed Mambo).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages