BINADAMU WANAPOGEUKA KUWA MIZIGO KWENYE MALORI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BINADAMU WANAPOGEUKA KUWA MIZIGO KWENYE MALORI

Mtandao huu umeshuhudia gari hii ya mizigo ikiwa imebeba abiria na mizigo kama baiskeli, vinywaji ikiondoka kutoka Mlowo kuelekea Kamsamba wilaya ya Mbozi, licha ya kukaguliwa na Askari wa usalama wa barabarani na kuruhusiwa kuondoka, ambapo kwa hali hii inatishia usalama wa abiria. (Picha zote na Ezekiel Kamanga, Mbozi).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages