Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Makamu wa
Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Pius
Msekwa na Katibu Mkuu Wilson Mkama wakimsikiliza Mwenyekiti ya Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Peramiho, Mh Jenista Mhagama akiongea kabla ya kikao kuanza
Meza kuu kabla ya kuanza kikao
Meza Kuu
Sehemu ya wabunge wa CCM
Wabunge wa CCM wakiwa mkutanoni White House
Mkutano ukiendelea















No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)