UWF kumwezesha mwanamke mjasiliamali siku ya wanawake Duniani - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UWF kumwezesha mwanamke mjasiliamali siku ya wanawake Duniani

Bi Maryam Shamo ambaye ni Mratibu Miradi wa UWF,(kushoto) akizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM kuhusu mchakato wa kumtafuta mwanamke mjasiliamali ambaye amejaribu kufuata nyayo za Mwanamakuka, ila kutokana na changamoto mbalimbali zinazomkabili amekwama kufikia malengo yake kupitia mradi wa Mwanamakuka chini ya chama kisicho cha kiserikali UWF (United of women friends) wameamua kumuwezesha mwanamke mjasiliamali ili kufikia malengo yake,kilele cha ukabidhiwaji wa tuzo hiyo ya Mwanamakuka itafanyika siku ya Wanawake Duniani,Machi 8 ,katika ukumbi wa Serena hotel zamani Movenpick,kulia kwake ni bi Jane Magembe ambaye ni Mratibu Msaidizi wa UWF.
Waratibu wa UWF wakiwa kwenye kipindi cha Leo tena mapema leo kuhusiana na tuzo ya Mwanamakuka,itakayotolewa kwenye hafla ya Siku ya Wanawake Duniani,itakayofanyika Machi 8 ndani ya Serena Hotel jijini Dar,kulia ni mwongozaji wa kipindi hicho Dina Marious.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages