Nahodha
wa Timu ya Taifa (Taifa Stars),Shadrack Nsajigwa akiwatoka mabeki wa
timu ya Taifa ya Msumbiji (Mambas) katika mchezo uliopigwa leo kwenye
uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wa kuwania tiketi ya kufuzu
kucheza Mataifa ya Afrika 2013 nchini yatakayofanyika nchini Afrika
Kusini.Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
Golikipa
wa timu ya taifa ya Msumbiji, Joao Raphael akiwa chini huku
mshambuliaji wa Stars, John Boko akikosa bao la wazi baada ya kubaki
yeye na kipa tu langoni. Timu
ya Taifa Taifa stars imeshindwa kutamba katika uwanja wake wa nyumbani
baada ya kutoka sare ya kufungana bao moja moja na timu ya msumbiji.Picha Kwa Hisani Ya Jane John
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)